Proverbs 26:24-25


24 aMtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake,
lakini moyoni mwake huficha udanganyifu.

25 bIngawa maneno yake huvutia, usimwamini,
kwa maana machukizo saba hujaza moyo wake.
Copyright information for SwhKC